Home News National News Wanafunzi Wa Zamani Wa Manorhouse Waomboleza Kifo Cha Baba Wa Mwenzao
National NewsNewsPolitics

Wanafunzi Wa Zamani Wa Manorhouse Waomboleza Kifo Cha Baba Wa Mwenzao

Share
Share

Wingu la majonzi ligubika jamii ya zamani ya shule ya upili ya manorhouse baada ya mmoja wao kumpoteza babake.Wycliff Chonge ambaye alikuwa kiongozi wa muungano wa dini katika shule hiyo alimpoteza babake Mzee Chonge akimtaja kama mtu aliyekuwa mzazi na rafiki aliyesimama naye katika kuishi kwake.

Wanafunzi wa zamani wa shule hiyo wameendelea kutuma risala za rambirambi kutoka kila pembe ya nchi.Umoja wao umetokana na vifo vilivyofuatana ikiwemo wa mkewe  phillip simiyu alifariki kutokana na ajali ya barabarani na kuzikwa kule cheranganyi na kifo cha babake peter kunania miezi michache iliyopita.

Kufikia sasa shughuli ya mipango ya mazishi inaendelea kwa kasi  huku kamati mbalimbali zikiundwa.Hizi ni baadhi rambirambi zilizotumwa….

PTER KUNANIA-May God give you strength bro,ni ngumu but take heart,pole sana,it is well my brother.

PHILIP SIMIYU-Brother Wicky, Pole sana for the loss of your dearest friend, father,  and mentor may the good lord give the Chonges strength and peace at this trying moment. Rest in peace mzee.

N.K-So sorry for the loss of dad brother Wicky……..may God strengthen you at this trying moments, be strong in the Lord.

JOSODOKE-Oh no! 😔 Pole Chairman.May God give you strength to bear this big loss.I have been there also and I know it’s not easy😌.May God come through for you and your family

KIZITO-Pole chairman for the loss of your, May Almighty God give enough comfort at this low moments of your life

LINNET CHIRCHIR-My condolences to our brother Wycliffe chonge.May the good lord comfort your family at large in a special way

GILHAGE-Condolences to Chonge and family may the Almighty God strengthen you during this difficult period.

CHOZEN MWANGI-My condolences to chairman chonge and family

EUNICE NJERI-My condolences dear brother for this trying moment it’s not easy but my almighty God comfort u n ur family.

Share

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles
News

Be Ready For El Nino

Many Kenyans still remember the destruction caused by the El Niño rains...

News

No Escape Route For Achani In Kwale

Politics surrounding the Kwale governorship has taken a new turn after key...

HealthNational NewsNewsWorld News

Mp Position:Gregory Meeks Opposes Plan to Send American Ebola Patients to Kenya

A United States congressman has strongly opposed a reported plan by President...

County NewsPolitics

Peter Munya and Mithika Linturi Clash Over Opposition Rallies in Meru

Opposition leaders in Meru County have become embroiled in a political supremacy...